Hatimaye Tunda Amuomba Msamaha Aunt Ezekiel - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Hatimaye Tunda Amuomba Msamaha Aunt Ezekiel

Miezi kadhaa iliyopita kupitia mtandao wa instagram wa video vixen maarufu Tunda alirushiana maneno na muigizaji Aunty Ezekiel pamoja na mzazi mwenzake Mose Iyobo na kusemekana kuwa Tunda alishindwa kulipa deni alilokuwa akidaiwa na Aunty Ezekiel.

Leo March 10,2018 kupitia mtandao wa instagram wa Tunda ameomba radhi kwa kile ambacho alikifanya dhidi ya Aunty na kuamini kuwa hata yeye atakuwa mama wa baadae, hivyo ameamua kuomba radhi.

“Let me take this opportunity kumuomba radhi Aunty kwa kumtukana mtoto wake ilikuwa ni hasira naomba msamaha kama mwanamke ambaye nitaitwa mama pia soon” Ujumbe huo pia umezua maswali kuwa Tunda ni mjamzito? kwa nini asema atakuwa mama soon?.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.