Diamond, Davido Wagaragazwa na Msanii Kutoka Uganda Tuzo za Nickelodeon - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Diamond, Davido Wagaragazwa na Msanii Kutoka Uganda Tuzo za Nickelodeon

Jana usiku nchini Marekani kulikuwa na ugawaji wa tuzo za kimataifa za Nickelodeon ambapo mastaa nguli kutoka Afrika walikuwa wanachuana kuwania tuzo hizo.

Mastaa hao ni Diamond Platnumz, Cassper Nyovest, Davido, Emannuella na Eddy Kenzo ambao wote walikuwa wanachuana kwenye kipengele cha Favourite African Star 2018 ambapo Eddy Kenzo ameibuka kidedea kwa kunyanyua tuzo hiyo.
Tuzo hiyo ambayo watu wengi walibashiri kuwa mtoto mwenye kipaji cha kipee barani Afrika, Emmanuella angeibuka kidedea, imezua gumzo nchini Nigeria kwa watu wengi kuhoji ushindi wa Eddy Kenzo.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.