Diamond Amtaka Lulu Diva Amzalie Mtoto Rich Mavoko - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Diamond Amtaka Lulu Diva Amzalie Mtoto Rich Mavoko

Baada ya kukanusha kwa muda mrefu, hatimaye imebainika kuwa Rich Mavoko na Lulu Diva ni wapenzi.

Aliyeweka wazi hilo ni Diamond Platnumz ambaye anafanya kazi na Rich Mavoko kupitia label yake ya WCB. Katika kumtakia kheri ya siku ya kuzaliwa Lulu Diva, Diamond amemwandika haya mrembo huyo.

We @luludivatz nae Utulete Mtoto sasa, Tushachoka picha zenu za Kuviziwa kwenye ma Parties#AfricanBeauty

Utakumbuka Fiesta ya Dar es Salaam iliyofanyika November, 2017 kuna picha zilisambaa mtaandaoni zikiwaonyesha Rich Mavoko na Lulu Diva katika mapozi ya kimahaba ingawa wenyewe walikanusha na hilo pia ila kwa kauli hii ya Diamond ni wazi lilokuwa likisema lipo.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.