Diamond Aelezea Njia Rahisi ya Kuishi Mjini - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Diamond Aelezea Njia Rahisi ya Kuishi Mjini

Msanii Diamond Platnumz ametoa somo la namna watu wanavyotakiwa kuishi mjini.

Muimbaji huyo wa ngoma ‘Waka’ amesema ingawa kila mmoja anauelewa wake ila ni muhimu kutoa nafasi kwa wengine kuongeze kitu kwa kile ambacho unakijua.

“Unajua mjini sio kuishi kwa kujua ni, ni namna unavyoishi na watu tu, inawezekana mimi ninajua kitu kuishia hapa lakini kumbe wewe unajua kuanzia nilipoishia mimi na kwenda mbele,” Diamond amesema hayo katika Interview na Bagdad.

“Kama nina mazungumzo mazuri na wewe huwezi kuniacha mimi niangaike nisiendelee utanisaidia ili nisogee, kwa hiyo si kujua ni kuangalia njia gani unazitumia na unaishije na watu, it’s all about techniques,”
amesisitiza.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.