Diamond Aacha Historia Kubwa, Akabidhiwa Ardhi Kenya. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Diamond Aacha Historia Kubwa, Akabidhiwa Ardhi Kenya.

Msanii wa muziki Diamond Platnumz ambae ameamua kufanikisha swala la kuwa miongoni mwa wasanii ambao wametoa album za nyimbo zake amepewa zawadi nono nchini Kenya. Diamond ambae amefanya uzinduzi wa album yake ya A Boy From Tandale March 14 nchini Kenya, Show ambayo ilikuwa ikisubiriwa kwa hamu na watu wa nchini humo huku wakijiona kuwa na heshima na thamani kubwa kwa msanii huyo kutokana na ukweli kwamba Diamond angeweza kufanya show hiyo nchi yoyote lakini aliamua kuifanya nchini humo.

Kwa Mara ya Kwanza Tangu Kufungiwa kwa Nyimbo Zake, Diamond Awashauri BASATA

Hata hivyo watu wa nchini Kenya pia waliamua kurudisha shukrani zao kwa msanii huyo na kuamua kumpatia zawadi ya kipande cha robo heka ya ardhi nchini humo.

Katika show hiyo Diamond aliambatana na familia yake pamoja na team yake nzima ya WCB Wasafi huku msanii mkubwa dunianai Omarion akija Afrika kwa ajili ya kumpa sapoti.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.