“Chiti na Msichana Mkali, Mpaka Ukifumaniwa Aombwe Kupiga Picha” Nikk wa Pili - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

“Chiti na Msichana Mkali, Mpaka Ukifumaniwa Aombwe Kupiga Picha” Nikk wa Pili

Leo March 16,2018 kwenye upande wa burudani story ambayo imechukua headlines kwenye mitandao ya kijamii ni kutoka kwa staa wa muziki wa Hipo Hop Nikk Wa Pilianayeunda kundi la weusi ambapo caption yake katika instagram yake imezua gumzo mitandaoni.

Kupitia instagram account ya Nikk Wa Piliameandika ujumbe ambao mashabiki wameutafsiri tofauti kutokana na maneno aliyoyaadika

“Chiti na demu mkaliiii mpaka demu wako akikufumania nae, badala ya kumpiga mangumi ana mwomba kupiga nae picha, nakumuuliza anatumia mafuta gani, amewezaje kuwa na ngozi nzuri hivyo na namna alivyo tunza shepu na kutokua na tumbo kabisa”
- Nikk wa Pili

“So akiondoka haondoki na machozi anaondoka na notes alafu akukubali kuwa wewe mbaya, yani ye mwenyewe kabahatisha kuwa na wewe ha ha ha naangalia comedi hapa usije ukachukulia serious” -Nikk wa Pili

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.