Anza Kupata Pesa na PMbet Leo - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Anza Kupata Pesa na PMbet Leo

Hivi karibuni Play Master, imeona mahitaji makubwa ya michezo na burudani nchini Tanzania, na kufungua teknolojia mpya ya ubashiri mtandaoni kupitia tovuti ya PMbet. Na ikiwa hujasikia kuhusu kampuni hii bado, sasa ni wakati mzuri kwako.


Play Master ni kampuni changa iliyoanzishwa mwaka 2014. Wafanyakazi wao wote muhimu wana uzoefu mkubwa katika sekta ya michezo ya kubahatisha na ya burudani. Lengo lao ni kutoa huduma bora ya ubashiri na huduma ya kipekee kwa wateja 24/7. Mbali na michezo ya ubashiri na michezo ya moja kwa moja, PMbet hutoa ufumbuzi wa ubunifu kwa watumiaji wake. Je! Ungependa kuangalia Super Cash out na Free Bet ?
Kwenye PMbet unaweza kukutana na timu upendazo pamoja na matokeo ya mechi zilizo pita pia unaweza kubashiri michezo muhimu inayokuja  na michezo ya haraka. Tofauti na makampuni mengine ya ubashiri, PMbet inatoa fursa za ubashiri kwa michezo mbalimbali, kama mpira wa miguu, tenesi, mpira wa kikapu, mpira wa pete, ndondi, mpira wa wavu ili kila mtu apate mchezo haupendao.
Mbali na ubashiri wa mtandaoni, tunatoa michezo maarufu kama Keno, Color Boom  na Wheel Of Fortune. Kucheza michezo hii ni furaha, rahisi na rafiki kwa mfuko wa mtumiaji.
Pia wamejali juu ya kulipa chaguzi kwa kuwapa wateja wao fursa ya kuchagua kati ya makampuni ya simu waliopendelea na kulipa pesa. Ikiwa ni mtumiaji wa Tigo Pesa, Airtel Money, M-Pesa. Daima tunawakaribisha.
PMbet pia inafanya kazi sana kwenye Facebook na Instagram, kusambaza taarifa juu ya matukio ya michezo, vidokezo vya ubashiri na habari za michezo. Angalia kurasa zetu ili kuwa pamoja nasi. Katika PMbet, wao daima hujaribu kufanya kila liwezekanalo kukidhi na kuzidi mahitaji ya wateja wao, kwasababu kuridhika kwa mteja ndio mafanikio yao.
Kuwa mtumiaji wa PMbet na kupata pesa pamoja nao ni rahisi sana.


PMbet inakutakia kila la heri!

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.