Young Killer Amwagana na Mpenzi Wake wa Siku Nyingi 'Miss Hip Hop' - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Young Killer Amwagana na Mpenzi Wake wa Siku Nyingi 'Miss Hip Hop'

Baada ya muda mrefu kutoonekana pamoja, hatimaye msanii Young Killer ameweka wazi kilichotokea kati yake na aliyekuwa mpenzi wake ‘Miss Hip Hop’.

Rapper huyo anayetamba na ngoma ‘Toto Tundu’ ameiambia Clouds Fm kuwa ni kipindi cha miezi sita sasa tangu waachane. “Kulikuwa na kutoelewana kidogo hatuko pamoja sasa hivi kama miezi sita,” amesema Young Killer.


Hata hivyo ameongeza kuwa si usaliti uliopelekea kuvunjika kwa mahusiano yao kwani hicho ni kitu cha kawaida bali kilichowaachanisha ni sababu za ndani zaidi.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.