Wolper Anajutia Kupoteza Muda Wake Kwenye Kuigiza Filamu - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Wolper Anajutia Kupoteza Muda Wake Kwenye Kuigiza Filamu

Mwigizaji wa bongo movie, Jacqueline Wolper anajutia kupoteza muda wake mwingi kukomaa na filamu, badala yake anaona ni bora tu angeanza biashara yake ya ushonaji wa nguo anayoifanya kwa sasa.

Wolper aliliambia Ijumaa Wikienda kuwa, miaka 10 iliyopita alitumia nguvu kubwa mno kukuza jina lake kupitia sanaa, lakini ukweli ni kwamba angetumia nguvu hiyo kukuza kipaji chake cha ushonaji leo angukuwa bonge moja la tajiri Bongo.

“Ningejua tangu mwanzo ningekomaa na mitindo maana huku naona watu wananielewa na ninapata pesa nyingi, lakini kwenye filamu nimeishia kujulikana tu,” alisema Wolper.

-GPL

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.