Wayne Rooney Apata Mtoto wa Nne wa Kiume - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Wayne Rooney Apata Mtoto wa Nne wa Kiume

Mshambuliaji wa klabu ya Everton, Wayne Rooney na mkewe Coleen Rooney wamefanikiwa kupata mtoto wanne wa kiume.

Hilo amethibitisha Coleen muda mfupi uliopita kupitia mtandao wake wa Twitter.

Kupitia mtandao huo Coleen ameandika, “So Happy to welcome our Baby Boy …. Cass Mac Rooney into the world weighing a healthy 8lb 10oz. He is beautiful .”
Mtoto huyo tayari wamempatia jina la Cass Mac na anaungana na ndugu zake wengine ambao ni Kai (8), Klay (4) na Kit (2).

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.