Watanzania 2 Wakamatwa na Madawa ya Kulevya Nchini China - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Watanzania 2 Wakamatwa na Madawa ya Kulevya Nchini China

Watanzania wawili, Baraka Malali na mkewe Ashura Musa wamekamatwa nchini China wakiwa wamemeza kete 129 za dawa za kulevya wakiwa na mtoto wao wa miaka 2 na miezi 9 ambaye amerudishwa nchini leo. Baraka alikuwa amemeza kete 47 na Ashura kete 82.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.