Video: Baunsa wa Diamond Atosahau Unyama Huu Aliofanyiwa - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Video: Baunsa wa Diamond Atosahau Unyama Huu Aliofanyiwa

Mpango mzima wa ‘Birthday Party’ ya baunsa wa Mfalme wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, anayefahamika zaidi kwa jina la Mwarabu Fighter, ulifanyika katika fukwe za Sea Breeze zilizopo Mbezi Beach – Dar, jana Februari 11, 2018.

Mashabiki wa Mwarabu Fighter na wageni waalikwa wote walipata fursa ya kukata keki pamoja na baunsa huyo kisha kupiga stori mbili tatu, na mwisho wa yote wakaamua kumfanyizia kitu mbaya ambayo hata yeye hatosahau maishani mwake.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.