Picha: Muonekano Mpya wa Alikiba na Ommy Dimpoz, Una Maoni Gani ? - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Picha: Muonekano Mpya wa Alikiba na Ommy Dimpoz, Una Maoni Gani ?

Baada ya Ben Pol kuanza mwaka 2018 kwa kuja na style mpya ya nywele ya kuzipaka rangi (bleach) – Alikiba na Ommy Dimpoz na wao wameamua kuja na style kama hiyo.
Wasanii hao ambao ameonekana kwenye picha tofauti tofauti wakiwa na bosi wao Seven Mosha, wameonekana katika muonekana mpya wa nywele zao ambao Kiba amezipaka nywele zake rangi nyekundu wakati Dimpoz akipaka rangi ya njano.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.