New Audio: Mnick Ft Muddy Swagger - Badilika | Download - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

New Audio: Mnick Ft Muddy Swagger - Badilika | Download

Wadau wa BongoSwaggz tumpe support kijana wetu Mnick ambaye anafanya mziki akiwa South Aficana ngoma yake ya kwanza kabisa imepewa jina la Badilika kama jaribio tu hivi karibuni ataaza kutoa ngoma kali mfululizo. Sikiliza pia Download hapa chini.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.