Mwanaume Atakayemuoa Jike Shupa Ajipange Haswa - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Mwanaume Atakayemuoa Jike Shupa Ajipange Haswa

Muuza nyago aliyetamba kwenye video ya msanii wa Bongo Fleva, Naftal Mlawa ‘Nuh Mziwanda’, Zena Abdallah ‘Jike Shupa’ anakiri kwamba, mwanaume atakayemuoa anatakiwa ajipange na akubaliane na staili ya maisha yake.

Shupa aliliambia Ijumaa Wikienda kuwa, amezoea maisha ya kuhangaika ya kujitafutie mwenyewe, sasa kama mwanamme atataka ajibweteke hatayaweza.

“Naona kabisa mwanaume atakayetaka kunioa, kama atanizungua kwa sababu mimi ni mtafutaji, ajipange maana atafungasha virago mwenyewe,”
alisema Shupa.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.