Mtoto wa Drogba Afuata Nyayo za Baba Yake Apata Dili Ufaransa - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Mtoto wa Drogba Afuata Nyayo za Baba Yake Apata Dili Ufaransa


Klabu ya soka ya En Avant de Guingamp ambayo inashiriki ligi kuu ya Ufaransa, imetangaza kumsajili mchezaji Isaac Drogba (17) amabye ni mtoto wa mchezaji wa zamani wa Chelsea Didier Drogba.

Kupitia mtandao wa Instagram, Drogba ameonyesha kufurahishwa na hatua hiyo kubwa aliyopiga mwanae kwa kuandika, “Couldn’t be more proud of you @isaacdrogba11 @eaguingamp Fiers de toi @isaacdrogba11 @eaguingamp.”

Frank Lampard ambaye amewahi kucheza na Drogba katika timu ya Chelsea, kupitia mtandao huo ame-comment kwa kuandika, “Congratulations! I remember Isaac as the small polite boy! Now a man!.”

Naye John Terry hakutaka hilo limpite akaamua ku-comment kwa kuandika, “Can’t believe how big he is mate, congratulations.”

Nitumie kwenye email nasibu69@gmail.com pia tuma azaniapost@gmail.com

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.