Msanii Kutoka Kenya Ajitosa Kutaka Penzi la Zari Baada ya Kutangaza Kumwacha Diamond - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Msanii Kutoka Kenya Ajitosa Kutaka Penzi la Zari Baada ya Kutangaza Kumwacha Diamond

Msanii wa muziki wa Injili kutoka nchini Kenya, Ringtone Apoko ameweka wasi mipango yake ya kutoka kuwa katika mahusiano na Zari The Boss Lady.

Maamuzi ya msanii huyo yanakuja ikiwa ni siku kadhaa zimepita tangu Zari kutangaza kuachana na Diamond. Kupitia mtandao wa Instagram Ringtone Apoko ameeleza kuwa Diamond hawezi kumuhudumia Zari kwani mrembo huyo anamuhitaji mtu kama yeye.

“Zari Hassan needs a man to lead her to church and to Christ. Diamond can’t offer such. Naomba namba yake Zari inbox me asap if you have it. MWANAMME NI YULE ANAJUA YESU NA MALI ANAYO NA WAKO WENGI HAPA KENYA. By the way wakisii hawananga shida bibi akija na watoto” ameandika.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.