Irene Uwoya na Dogo Janja Waanika Hadharani Ratiba Yao ya Chumbani - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Irene Uwoya na Dogo Janja Waanika Hadharani Ratiba Yao ya Chumbani

Muigizaji wa Bongo movie Irene Uwoya pamoja na mume wake Mwanamuziki wa Bongo fleva Dogo Janja wameachana za watu wengi baada ya kuweka mambo yao binafsi ya chumbani kwenye mtandao.

Tukio hilo lilitokea siku ya jana baada ya Dogo Janja kuposti kipande cha karatasi kilikuwa kimeandikwa na kusainiwa na Irene Uwoya huku kikimuelekeza Dogo Janja siku atapewa na siku gani hapewi.

Of course hawakuandika wanapeana nini lakini mara moja kila mtu alianza kudhani kupeana mambo ya chumbani maana ujumbe ulianza na maneno “ Ratiba ya kukupa Mume wangu”. na kisha kaweka siku zote kuanzia jumatatu mpaka jumapili na kamwambia siku anazompa na siku ambazo hatompa.
Dogo Janja na Uwoya wametoka mbali sana tangu wafunge ndoa yao ya siri mwaka jana ndoa iliyokuwa ndoa ya mwaka maana walitengeneza headlines vibaya mno maana hakuna aliyetegemea Dogo Janja angeweza kumpata Uwoya.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.