Fahamu Kuwa Chai ya Moto Inaweza Kusababisha Saratani ya Koo - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Fahamu Kuwa Chai ya Moto Inaweza Kusababisha Saratani ya Koo

Wanasayansi nchini China wamefanya utafiti na kugundua kuwa unywaji wa chai ya moto mara kwa mara unaweza kusababisha saratani ya koo.

Kwa mujibu wa makala iliyochapishwa katika jarida la Annals of Medicine Internal, hali ya afya na tabia ya kula ya watu 456,155 kati ya umri wa miaka 30-79 ilichunguzwa wakati wa utafiti huo.

Utafiti umefanywa ndani ya miaka kumi.

Imebainika kuwa watu amabo hunywa mara kwa mara chai ya moto au gramu 15 za pombe wana uwezekano mkubwa zaidi wa kupata saratani ya koo,mara tano zaidi ya asiyekunywa.

Na kwa wavuta sigara,kuna uwezekano wa wao kupata ugonjwa huo mara mbili ya mtu asiyevuta sigara.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.