Dogo Janja, Uwoya Mapenzi ni Moto, Amwita Dogo Janja Baba Krish - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Dogo Janja, Uwoya Mapenzi ni Moto, Amwita Dogo Janja Baba Krish

Miezi kadhaa imepita tokea muigizaji Staa Irene Uwoya afunge ndoa na msanii Dogo Janja na kwa upande wao wameonekana kuridhika na ndoa yao ingawa maneno yalikuwa mengi kutoka kwa mashabiki.

Mapenzi kati yao yanaonekana kushamiri na kudumu hii ni baada ya Dogo Janja kukabidhiwa majukumu kama baba wa familia baada ya kuitwa Baba Krish katika comment kupitia instagram akaunti ya Irene Uwoya na jina hili kuonekana kama ndio hutumika kati yao.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.