Diamond Kutoa Fursa, Aanza Kusaka Vipaji vya Utangazaji Mikoani - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Diamond Kutoa Fursa, Aanza Kusaka Vipaji vya Utangazaji Mikoani

Wakati mashabiki wa Diamond Platnumz wakisuribiria ujio wa Wasafi Radio na Tv, muimbaji ameonyesha kutaka kutoa fursa kwa vijana.
Diamond ana mpango wa kusaka vipaji vya utangazaji kwa ajili ya Wasafi Radio na TV.

“Pleae tell me, From your perspective which City has the best Radio and Tv Presenters…?,” aliandika Diamond Instagram na kuendelea, “Eti nna swali…Hivi ni Mkoa Upi Una Vipaji sana vya Watangazaji?.”.

Baada ya post hiyo watu mbali mbali walipendekeza mikoa tofauti tofauti, miongoni mwao ni DJ Nicotrack mtangazaji wa kipindi cha Dj Show cha Radio One, Dj huyo alipendekeza mikoa ya Mbeya na Arusha.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.