Breaking News: Mahakama Yawahukumu Kwenda Jela Sugu, Masonga Baada ya Kukutwa na Hatia - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Breaking News: Mahakama Yawahukumu Kwenda Jela Sugu, Masonga Baada ya Kukutwa na Hatia

Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi na Katibu wa Chadema Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Emmanuel Masonga wahukumiwa kifungo cha miezi mitano jela baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kutumia lugha ya fedheha dhidi ya Rais.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.