Billnass Afunguka Kuhusu Petitman Kuacha Kufanya Nae Kazi, ''Hatuwezi Kufanya Kazi Milele'' - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Billnass Afunguka Kuhusu Petitman Kuacha Kufanya Nae Kazi, ''Hatuwezi Kufanya Kazi Milele''

Baada ya story kuwa nyingi mtandaoni kuhusu msanii Billnass kuacha kufanya kazi na Petitman huku zikihusishwa na story ya kuwa wameshindwana na isitoshe wana ugomvi, sasa Billnass amezungumza kuhusu hilo na kusema kuwa hawajagombana bali Petitman kaamua kujitoa mwenyewe.

Msanii Billnass amesema kuwa:

“Ameamua kufanya vitu vyake ni hatua nzuri tu na sisi tunaendelea, amejitoa sijui kama ameona amepoteza hela yake na muda wake kwangu naamini kila mtu anamaamuzi yake hatuwezi kufanya kazi milele, hatuna tatizo lolote”

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.