Ben Pol Ashindwa Kuvumilia Kuhusu Nywele za Vanessa Mdee - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Ben Pol Ashindwa Kuvumilia Kuhusu Nywele za Vanessa Mdee

Trend ya rangi za nywele kwa baadhi ya wasanii ndio inayochukua headlines katika mitandao ya kijamii kwa sasa ambapo Ben Pol alianza kuja na nywele za kijani kibichi na comments zikawa nyingi kutoka kwa mashabiki.

AliKiba na Ommy Dimpoz ni baadhi ya wasanii ambao wamebeba headlines kutokana na muonekano mpya wa nywele zao baada ya kuzipaka rangi na kwa sasa Vanessa Mdee anabeba headlines hizo akiwa ana muonekano mpya kichwani wa rangi ya orange.

Kupitia mtandao wa instagram wa Ben Pol ameonekana kufarijika na kile ambacho Vanessa Mdee amefanya kichwani kwake kwa kupaka rangi ya orange.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.