Tunda 'Sasa Nipo Tayari Kuwa Mke' - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Tunda 'Sasa Nipo Tayari Kuwa Mke'

Muuza nyago aliyejizolea umaarufu kutokana na vituko vyake, Tunda Sebastian, amefungukia kubadili muonekano wake kuwa, amefanya hivyo ili kukwepa kuonekana na mwili wa kitoto tena.

Tunda alisema kuwa anapendezwa na muonekano ambao anaonekana hivi sasa kwa sababu angalau anaonekana mtu mzima hata mtu akimuoa anajua ana mke mkweli ndani.

“Nafurahia sana muonekano wangu wa sasa hivi nilivyo na kwa sasa nipo tayari kuitwa mke wa mtu maana hata nikiwekwa ndani kama mke nafaa kabisa, nilikuwa nakereka watu kunifananisha na katoto,” alisema Tunda.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.