Tunda Aomba Msamaha Kisa Kuvuja Kwa Video Akidendeka na Mume wa Mtu. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Tunda Aomba Msamaha Kisa Kuvuja Kwa Video Akidendeka na Mume wa Mtu.

Mrembo Tunda ambaye kwa sasa amekuwa headline kwenye mitandao na mitaani pia amefunguka na kuomba msamaha kwa mashabiki na mke wa Kinje kisa video zinazosambaa mtandaoni wakipigana madenda.... Adai matukio ni ya zamani sio sasa hivyo asamehewe tu.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.