Shabiki Amtolea Povu Harmonize Kuacha Kumuiga Diamond - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Shabiki Amtolea Povu Harmonize Kuacha Kumuiga Diamond

Moja ya mashabiki wa msanii Harmonize amemuandikia msanii huyo barua ndefu na kumshauri jinsi ya kufanya ili aweze kukua kimuziki lakini sio kumuiga meneja wake Diamond kwa sababu kwa kufanya hivyo anakuwa anaua kazi zake za muziki.

Shabiki huyo anaesemekana kutokea Mombasa amemuomba Harmonize aje na style tofauti na kuacha kumuiga Diamond kwa sababu anawaboa mashabiki wake wengi.

am from Kenya working in Dubai, shabiki mkubwa wa harmonize lakini ananiboa sana anavyokuwa nafanya kwa sttle zake za kumuiga diamond. naomba aje na style zake tofauti hata kama mond ni boss wake.

Shabiki huyo kutoka kenya hatokuwa shabiki wa kwanza kumtolea povu msanii harmonize kwa kile kinachodaiwa kuwa amekuwa akimuiga boss wake kuanzi akuvaa na hata mavazi wakati mwingine bila kujua kuwa mashabiki wao wanaowapenda wamekuwa wakiwafatilia na kuwashajua kuwa hawana tofauti.

hii inaua soko la muziki hasa kwa upande wao, hivyo msanii anapaswa kuchuka ushauri huo na kyuona ni wapi alipokosea na panapaswa kurekebishwa.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.