Saed Kubenea Aachiwa Huru na Mahakama na Kukamatwa Tena - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Saed Kubenea Aachiwa Huru na Mahakama na Kukamatwa Tena

DODOMA: Mahakama ya Wilaya mapema leo imemuachia huru Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea (CHADEMA)

Hata hivyo Jeshi la Polisi limemkamata tena. Yadaiwa atafunguliwa mashtaka upya.

Mbunge huyo kabla ya kuachiwa leo alikuwa akituhumiwa kwa kumshambulia kwa mateke, ngumi na makofi, Juliana Shonza (Mbunge wa Viti Maalum) ambaye kwasasa ni Naibu Waziri.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.