Pretty Kind Amtaka Nuh Mziwanda Atulie - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Pretty Kind Amtaka Nuh Mziwanda Atulie

Pretty Kind
Msanii wa Bongo Movie ambaye alikuwa mpenzi wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Naftal Mlawa ‘Nuh Mziwanda’, Suzan Michael ‘Pretty Kind’ amemtaka mwanaume huyo atulie na aache kutapatapa na wanawake wa mjini.

Pretty alisema Nuh anatakiwa aache kutapatapa na wanawake wa mjini na ajikite katika kufanya kazi na kuachana na kutegemea kuhongwa na wanawake.

“Niliachana na Nuh maana nilishindwa kuwa na mwanaume ambaye anataka nimlee wakati nami ndiyo natafuta maisha, namshauri atulie sasa afanye kazi atafika mbali sana kuliko kutegemea kuhongwa,” alisema Pretty.

Nuh alipotafutwa kuhusu ishu hiyo, simu yake iliita bila kupokelewa.

-GPL

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.