Kwa Wiki Mbili Watu 1,500 wa-Pre rder albamu ya Vanessa ‘Money Mondays’ - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Kwa Wiki Mbili Watu 1,500 wa-Pre rder albamu ya Vanessa ‘Money Mondays’

Msanii wa muziki Bongo, Vanessa Mdee amefunguka alipofikia kimauzo albamu yake mpya ‘Money Mondays’.

Albamu hiyo ambayo ilitoka December 20 mwaka jana na kuanza kuuzwa kwa mfumo wa Pre order wiki (Alhamisi) hii inatarajiwa kuwa mtaani katika mfumo wa CD na platform zote na kimtandao.

Vanessa amesema katika siku kwanza watu wapatao 24 waliweza kumuelewa na kui-pre order na kadiri alivyozidi kuipigia chapuo katika mitandao ya kijamii ndivyo watu walizidi kumuelewa kitu kilichopelekea wiki ya pili kuwa na watu 400 na wiki ya pili watu 1,500.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.