Kajala Afunguka Kuhusu Ndoa Yake na Mumewe Aliyetoka Gerezani

Kajala aliliambia Ijumaa Wikienda kuwa, kama mume, ni lazima angefanya taratibu za kumuona mkewe kwani hata yeye alikuwa akienda kumuona gerezani na isitoshe anajua wazi mumewe huyo anahofia mali zake alizorudishiwa baada ya kushinda kesi. “Unajua ilibidi anitafute, lakini alikaa kimya, akaendelea na mambo yake hiyyo siwezi kurudi kwenye ndoa hiyo tena,” alisema Kajala.
-GPL
Download App Yetu MPYA >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !
No comments
TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.