Faiza Ajisifia Kuwa Kibonge, Adai Sina Stress za Mapenzi - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Faiza Ajisifia Kuwa Kibonge, Adai Sina Stress za Mapenzi

Muigizaji wa Filamu za Kibongo, Faiza Ally amejisifia kuwa kwa sasa mwili wake umenawiri kwa sababu hana stress za mapenzi wala za maisha.

Faiza aliiambia Full Shangwe kuwa, mwaka 2018 ameuanza vizuri akiwa hana stress zozote za mapenzi wala maisha kwa sababu amejikita katika biashara zake binafsi.

“Sina stress mwaka 2018, kama kuna mtu niliachana naye hilo lilishapita, kwa sasa ninafurahia maisha na mwili wangu unaona unazidi kunawiri zaidi ya kipindi cha nyuma cha mateso ya mapenzi” alisema Faiza.

-GPL

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.