Video: Tekno – Only One - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Video: Tekno – Only One

Msanii wa muziki kutoka Nigeria, Tekno ameachia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la ‘Only One’ ambao ametoa kama zawadi kwa mashabiki wake ikiwa leo Desemba 17, 2017, anasherehekea siku yake ya kuzaliwa. 

Tazama kichupa hapa chini kisha dondosha comment yako juu ya wimbo huo.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.