Video: Itazame ‘Uzalendo’ ya Tanzania All Stars - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Video: Itazame ‘Uzalendo’ ya Tanzania All Stars

Wasanii wa Tanzania All Stars wametoa Video ya wimbo wao wa ‘Uzalendo’ wimbo ambao unahamasisha Uzalendo wa kuipenda nchi ya Tanzania na kuwa na upendo pamoja na Mshikamano.
Wimbo huo wa ‘Uzalendo’ ambao umewakutanisha wasanii mbalimbali wanao Rap pamoja na wasanii wanao imba kutoka Tanzania huku asilimia kubwa ya wasanii hao wakiwa ni wazawa wa nchi hiii.
Miongoni mwa wasanii ambao wameshiriki kwenye wimbo huu wa Uzalendo ni pamoja na Fid Q, Maua Sama, Ben Pol, Saida Karoli, Aslay, Rayvanny, Barnaba, G nako, Roma, Stamina, pamoja na wengine wengi.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.