Trey Songz Afuata Nyayo za Idris Sultan - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Trey Songz Afuata Nyayo za Idris Sultan

Kweli Bongo Bahati Mbaya, unaambiwa Idris Sultan alipost picha akiwa amevaa boxer tu! katika mtandao wa kijamii wa Instagram na baadhi ya watu wakamshambulia bila kujua lengo lake ni kuonyesha mwili wake aliyoutengeneza kwa ajili ya filamu ya ‘The Blue Mauritius’ ifikapo mwakani lakini pia ndoto zake za kutangaza boxer za Calvin Klein.

Kama sio kuiga ni nini, naye Trey Songz amefanya tukio hilo hio la kupost picha yake akiwa amevalia boxer aina ya Calvin Klein na kuweka katika mtandao wa Instagram, ila baadae akafuta posti hiyo.
Idris akiwa amevaa boxer
Trey Song anaye akavaa boxer

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.