Picha: Nahreel na Aika (Navy Kenzo) Wapata Mtoto - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Picha: Nahreel na Aika (Navy Kenzo) Wapata Mtoto

Wasanii Nahreel na Aika wanaounda kundi la Navy Kenzo ambao pia ni wapenzi wamejaliwa kupata mtoto.

Kupitia kurasa zao za mtandao wa Instagram wameeleza furaha yao mara baada ya kupata mtoto huyu. Nahreel ameandika; #Gold z Finaly Here, God z good all the time #HappyIndependenceDayTz

Huku Aika naye akiandika; Mr Gold welcome to the world. Thank you God, and thank you all for ur prayers. #AlsoHappyBirthdayMum#HappyIndependeceDayTanzania

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.