Lulu Diva Kufunga Ndoa Ya Kimya Kimya

Akizungumza na gazeti hili, Lulu Diva alisema anamshukuru Mungu mipango yake ya harusi inaenda sawa, lakini ameamua kufanya kimyakimya kwa sababu hapendi iwe gumzo.
“Yaani ndoa yangu sitaki kabisa vurugu mbalimbali watu watasikia tu tayari nimeolewa, nashukuru Kila kitu kimeenda sawa katika maandalizi, baadhi ya watu nitakaowachagua kuhudhulia watapata mualiko tu,” alisema Lulu Diva
Download App Yetu MPYA >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !
No comments
TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.