Liverpool Kuitikisa Everton Nyumbani - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Liverpool Kuitikisa Everton Nyumbani

Liverpool watakuwa nyumbani huko Anfield leo kuwakaribisha Everton mechi itakayopigwa saa kumi na moja na robo (11:15 jioni).

Timu hizo zinakwenda kwenye mechi hiyo kila moja ikiwa katika hali nzuri baada ya kushinda mechi zao zilizopita, ambapo Everton ilishinda mabao matatu ugenini kwenye Europa League, huku Liverpool ikimpiga mtu mabao saba kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya.

Mechi nyingine ya leo, Arsenal iliyoshinda BATE 6-0 watakuwa na shughuli pevu ugenini kwa Southampton.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.