Jacqueline Wolper Afunguka Kurudiana na Harmonize, Adai ‘Yule ni Njiwa Wangu’ - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Jacqueline Wolper Afunguka Kurudiana na Harmonize, Adai ‘Yule ni Njiwa Wangu’

Msanii wa Filamu Bongo, Jacqueline Wolper amefunguka taarifa za kurudiana na Harmonize.

Kauli hiyo inakuraja mara baada ya Wolper kumjibu shabiki mmoja katika mtandao kuwa anaweza kumpata Harmonize kwa wakati wowote.

“Kwanini nimejiaminisha? Sasa yule si njiwa wangu kabisa au hamjui Harmonize njiwa wangu,” amesema.

Hata hivyo amesema kuwa kauli hiyo aliitoa kutokana mtu huyo alimkera hivyo akaamua kutoa neno la kumuumiza pia.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.