Faiza Afunguka Kuhusu Wanae Asema "Natamani Ningezaa Hata 10"

Faiza ametaja sababu ya kutowezekana ni kutokana na gharama za maisha kuwa juu na kueleza watoto wake wawili alionao wanamtosha.
“Sina mpango wa kuwa na mtoto mwingine kwa sababu wawili wananitosha, I don’t need more because life is too expensive, so sitaki kuleta mtoto aje kupata shida lakini natamani ningezaa hata 10” Faiza ameiambia Bongo5.
Download App Yetu MPYA >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !
No comments
TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.