Dully Sykes Atokwa Povu Kisa Bomberdier, Atangaza Vita Kwa Wasanii Wenzake - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Dully Sykes Atokwa Povu Kisa Bomberdier, Atangaza Vita Kwa Wasanii Wenzake

Kisa Bombardier! Mkongwe wa Bongo Fleva nchini, Dully Sykes ametoa povu ikiwemo kutangaza vita na wasanii wa kizazi kipya kwa sababu ya kushindwa kumsapoti kwenye wimbo wake mpya.

Dully Sykes ambaye ameachia wimbo mpya wa Bombardier, alisema wasanii wa sasa ambao wengi ni wapya wana roho mbaya na yeye yuko tayari kupambana nao.

“Wasanii wa sasa wana roho mbaya, hawasapotiani kama wasanii wa zamani, ndiyo maana Bombadier yangu hawajanisaidia kuitangaz, hiyo inaonesha muziki ni vita na mimi niko tayari kupambana nao,” alisema Dully.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.