Diamond Ampa DJ Wake Romy Jones Nyumba ya Milioni 100 Kama Zawadi ya Harusi - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Diamond Ampa DJ Wake Romy Jones Nyumba ya Milioni 100 Kama Zawadi ya Harusi

Habari Wadau..

Naona Rais wa WCB mambo ya vyuma vimekaza yeye hayamuhusu.. Maana hela anachukua kwa wateja wake waliopo dunia nzima...

Juzi Kamzawadia DJ wake wa Muda Mrefu Romy Jones Nyumba ya Milion 100

Mama Diamond nae kujibu mapigo kamzawadia Romy Jones kiwanja cha thamani ya milioni 80...

A boy from Tandale... Anawapenda sana wafanyakazi wake

VIDEO:

a

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.