Amber Lulu: Usimfananishe Mume wangu (Prezzo) na Young Dee, Unamkosea Adabu ! - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Amber Lulu: Usimfananishe Mume wangu (Prezzo) na Young Dee, Unamkosea Adabu !

Msanii wa muziki Bongo, Amber Lulu amedai mpenzi wake Prezzo asifananishwe na Young Dee.

Amber Lulu amesema hao ni watu wawili tofauti hivyo kuwafaninisha ni kumkosea heshima Prezzo.

“Usimfananishe mume wangu na watu wengine kwa sababu unakuwa unamkosea adabu, kwa hiyo Young Dee ni Prezzo usiwakee kabisa pamoja kwa sababu ni watu wawili ambao hawezi kuendana hata kidogo,” Amber Lulu ameiambia Bongo5.

Pia Amber Lulu ameongeza kuwa mara baada ya kuachana na Young Dee hata tattoo yake aliyokuwa ameichora mkononi aliifuta kwani aliiweka kwa muda tu.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.