Video: Inasemekana Msanii wa Muziki Ferouz Hali Ngumu, Anaswa Live Akiuza Samaki Mchele Kitaa - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Video: Inasemekana Msanii wa Muziki Ferouz Hali Ngumu, Anaswa Live Akiuza Samaki Mchele Kitaa

Video inayosambaa ikimuonyesha Ferouz wa Daz Nundaz msanii aliyetikisa na wimbo uitwao wa Starehe uliofanya vizuri mpaka akapewa zawadi na Mh Rais wa zamani Mkapa.

Hapo awali inasemekana maisha yake yalikuwa magumu na pia ni mtumiaji wa madawa ya kulevya! VIDEO:

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.