Picha: Nyalandu Afanya Maamuzi Ajitosa Kumtembelea Lowasa Ofisini Kwake kwa Mazungumzo - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Picha: Nyalandu Afanya Maamuzi Ajitosa Kumtembelea Lowasa Ofisini Kwake kwa Mazungumzo

Nyalandu Afanya Maamuzi Ahamua Kumtembelea  Lowasa Ofisini Kwake
Aliyekuwa Mbunge wa Singida Kaskazini (CCM), Lazaro Nyalandu amemtembelea Waziri Mkuu wa zamani na mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Edward Lowassa ofisini kwake Mikocheni jijini Dar es Salaam.
Nyalandu aliyejiondoa CCM wiki iliyopita leo Jumanne Novemba 7,2017 amemshukuru Lowassa kwa kuonyesha njia kwa wengine kuwa kuna maisha nje ya CCM.
“Mzee wangu nimekuja kujitambulisha na kusema asante kutufungulia mlango,” amesema Nyalandu katika taarifa iliyotolewa na ofisi ya Lowassa.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.