Nay wa Mitego Awatosa Alikiba na Diamond - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Nay wa Mitego Awatosa Alikiba na Diamond

Nay wa Mitego amefunguka na kuzitaja ngoma kubwa ambazo zimepata umaarufu mkubwa zaidi nchini na kusema ni ngoma ya Muziki ya Darassa, Moyo Mashine ya Ben Pol, Bongo Bahati mbaya ya Young D na Wapo ya Ditto huku akizitosa ngoma za Alikiba na Diamond.

Ney wa Mitego amesema hayo kwenye kipindi cha Friday Night Live (FNL) na kudai hizi ndiyo ngoma kali ambazo zilitoka na kuwa kubwa kila kona nchini na kuleta mpaka misemo mtaani huku akidai zipo nyimbo nyingine zilikuwa kubwa lakini hazikuwa na matokeo makubwa kama ngoma hizo alizozitaja.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.