Mimi Mars Akanusha Kukopi Melody Kutoka Kwa Vanessa Mdee - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Mimi Mars Akanusha Kukopi Melody Kutoka Kwa Vanessa Mdee

Msanii wa muziki Bongo, Mimi Mars amefunguka ishu ya kukopi melody kutoka Vanessa Mdee.

Muimbaji huyo ambaye kwa sasa anafanya vizuri na ngoma yake mpya ‘Sitamani’, amekiambia kipindi cha Ladha 3600, E Fm kuwa si kweli ngoma yake ‘Dedee’ amechukua melody kutoka kwenye ngoma ya Vanessa na Legendury Beatz ‘Duasi’.

“Sijui labda zinafanana lakini nahisi kila mmoja ana njia yake, unaweza kukuta kitu kidogo tu ukasema hii kama ya wimbo ule lakini hiyo ipo hata kwenye muziki wa nje” amesema Mimi Mars.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.