Kwanini Wanawake Wengi 'Waliochelewa' Kuolewa Wameamua Kuokoka ? - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Kwanini Wanawake Wengi 'Waliochelewa' Kuolewa Wameamua Kuokoka ?

Idadi kubwa ya mabinti wa Kikristo ambao wamechelewa kuolewa, wengi wao sasa hivi ni mafull upako kuanzia post zao mitandaoni na hata maongezi yao.

Ukiongea nao na kuomba appointment utasikia, 'siku hiyo tutakuwepo kanisani kwenye maombi'.

Sijui hapo kuna siri gani nyuma ya pazia. Wameokoka kwa kuwa desperate au wameokoka kwa kuvutia wachumba au ni kweli wameamua kuyatoa maisha yao kwa Bwana ?

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.