Faiza Ally Amweka Mpenzi Wake Hadharani, Full Mahaba - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Faiza Ally Amweka Mpenzi Wake Hadharani, Full Mahaba

Faiza Ally Amwonyesha Mpenzi Wake Mpya Kwa Mara ya Kwanza Wakifanya Yao
Muigizaji wa Filamu Bongo, Faiza Ally ameamua kumuweka wazi mpenzi wake mpya baada ya kuachana na Mr. Sugu aliyebahatika kupata naye mtoto mmoja aitwaye Sasha.

Mrembo huyo ametumia fursa ya mtandao wa kijamii wa Instagram kuweka picha akiwa na mwanaume huyo anayehisiwa  kuwa  baba mzazi wa mtoto wake wa pili wa kuime aliyempata miezi kadhaa iliyopita, picha hiyo imewaonyesha wawili hao wakiwa wanapigana busu zito.

“If this is not love basi sijui how love is ❤️, ” ameandika mrembo huyo 

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.