Zitto Kabwe Akamatwa na Polisi Asubuhi Hii - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Zitto Kabwe Akamatwa na Polisi Asubuhi Hii

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa asubuhi hii na Afisa Habari wa Chama hicho Bwana Abdallah Khamis imeeleza kuwa kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe,amekamatwa na jeshi la Polisi muda huu akiwa nyumbani kwake na anapelekwa kituo cha Polisi Chang'ombe.

Sababu za kukamatwa kwake ni hotuba ya juzi Oktoba 29, 2017 katika kata ya Kijichi, Mbagala Jijini Dar es salaam katika uzibduzi wa kampeni za uchaguzi wa mdogo wa madiwani kwenye kata 43 nchini.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.